Uchaguzi Uganda:Tume ya uchaguzi yatangaza kumalizika kwa kampeni

0
42

Facebook

Twitter

Google+

Pinterest

WhatsApp

Telegram

Kampala, Uganda

Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini Uganda, Jaji Simon Byabakama ametangaza kuwa kuanzia leo mtu yeyote hatakiwi kufanya kampeni za namna yeyote ile.

Aidha, amesema uchaguzi utafanyika kesho Januari 14, 2021 siku ya Alhamis, huku kukiwa na jumla ya wapiga kura wa kiume ni zaidi ya milioni nane na wanawake wakiwa zaidi ya milioni tisa.

Amesisitiza pia kuwa waandishi wa habari hawataruhusiwa kuingia kwenye chumba cha kupigia kura.

Source: mtanzania.co.tz